Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Mkuu yani acha tuu, pole sana😁Ilidumu mpaka aliponiambia nimtumie suti kwa ajili ya kaka yake kuolea na mimi nikatuma kuja kugundua ilikuwa ni suti ya bwana harusi anaemuoa yeye kuvaa siku ya ndoa.
Mkuu, mwaka mmetoboa bila kuonana?Tuna mwaka mmoja, nampenda sana.
Nina furaha na amani, kikubwa ni mawasiliano imara basi.
Niko single mkuu huu mwaka wa 2 sasa, nitashea mawazo nikitulia mkuuMkuu yani acha tuu, pole sana😁
Kila la heri mkuu.Niko single mkuu huu mwaka wa 2 sasa, nitashea mawazo nikitulia mkuu
Comment yako imenipa nguvu mkuu.4 yrs bila kuonana! Ilinisaidia kuvumilia kuishi na genye, kikubwa mawasiliano imara yakiyumba na penzi linakufa hasa kama hamjarasmisha
Pole sana aiseeYalichonitenda Mungu mwenyewe anajua, jamaa nilidumu nae miaka mitano sikuwahi kumsaliti ila alichonilipa najua mwenyewe kidogo nipelekwe milembe ila nikapelekwa kwa Mwamposa mpaka sasa huyo mjinga amenifanya kuwa single mother wa mtoto ambaye baba yake sikuwahi kumpenda ila nilienda kwake kama kupunguza machungu nikaambulia mtoto. hila yule mb*a popote alipo Mungu amlinde tu make nilimuona mungu mtu nikaambulia kuona picha za harusi mtandaoni.
lazima atakua na kadi ya CCM huyo wallahIlidumu mpaka aliponiambia nimtumie suti kwa ajili ya kaka yake kuolea na mimi nikatuma kuja kugundua ilikuwa ni suti ya bwana harusi anaemuoa yeye kuvaa siku ya ndoa.
Dah pole sana mkuu, wanaume wote ni UMBWA😁Yalichonitenda Mungu mwenyewe anajua, jamaa nilidumu nae miaka mitano sikuwahi kumsaliti ila alichonilipa najua mwenyewe kidogo nipelekwe milembe ila nikapelekwa kwa Mwamposa mpaka sasa huyo mjinga amenifanya kuwa single mother wa mtoto ambaye baba yake sikuwahi kumpenda ila nilienda kwake kama kupunguza machungu nikaambulia mtoto. hila yule mb*a popote alipo Mungu amlinde tu make nilimuona mungu mtu nikaambulia kuona picha za harusi mtandaoni.
Yarabiiii AsalalekiiiIlidumu mpaka aliponiambia nimtumie suti kwa ajili ya kaka yake kuolea na mimi nikatuma kuja kugundua ilikuwa ni suti ya bwana harusi anaemuoa yeye kuvaa siku ya ndoa.
Kila kitu kinawezekana, zingatia mawasiliano ya karibu tu ukiona ameanza/umeanza kupunguza simu ama kuchat ujue kuna mtu wa 3 anaingia hapo,Comment yako imenipa nguvu mkuu.
Yasiyokua rasmi mkuu ila malengo yapo.Yapi sasa, yaliyorasmishwa ama yasiyokuwa rasmi?
miaka minne hujacheatYalichonitenda Mungu mwenyewe anajua, jamaa nilidumu nae miaka mitano sikuwahi kumsaliti ila alichonilipa najua mwenyewe kidogo nipelekwe milembe ila nikapelekwa kwa Mwamposa mpaka sasa huyo mjinga amenifanya kuwa single mother wa mtoto ambaye baba yake sikuwahi kumpenda ila nilienda kwake kama kupunguza machungu nikaambulia mtoto. hila yule mb*a popote alipo Mungu amlinde tu make nilimuona mungu mtu nikaambulia kuona picha za harusi mtandaoni.