Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kwa Dunia ya sasa ni ngumu sana mahusiano ya mbali yakadumu. Labda iwe kama mlishakula viapo vya NdoaBabu naona unapigilia msumali wa mwisho kwenye jeneza sasa, mimi na mkwe wako tunapendana aisee😁
Lakini kama ni Uchumba wa kuitana baby baby nina uhakika wa asilimia 85 ya hayo mahusiano kutofika mbali
Hebu fikiria mpenzi wako ana magroup ya Whatsapp kama 7 hivi, yakiwemo yale ambayo wanatumiana nudes ambazo zinaweza kumfanya atamani kulalwa ama kumlala mtu.
Halafu wewe unajifanya Mwamba Kwa kumpigisha nudes video calls ama sex chats ambazo zitamfanya awe wet
Yaani hapo akikutana na fine boy yeyote anamtunuku tunda 😜