Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
- Thread starter
- #61
Mkuu na ni pisi kali tako lipo yani ni full wasiwasi ila ngoja nione.Hapana bro, pisi kali kukaa peke yake karibu mwaka mzima ujue probability ya kutokusaliti ni ndogo, kibaya zaidi ae anakutegemea financially kwa kiasi flani.
Wao wenyewe huwa wanajua huyo mwanaume huko aliko ana mtu cause they know wanaume wanapenda kuzagamua.
Mi siamini sana kwenye hizi mambo.