"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Me tulifahamiana mwaka wa 2020 tukaa hadi 2022 mwshoni nkaja kumzingua kwa hasira zangu wakat huo mm npo Morogoro yeye yupo Rock city Mwanza mm nkaendelea na mahusiano mengne na yeye kwa hasira akapata kajamaa huko.

Mwaka jana mwshoni akanichek akankuta Single na yeye aldai ameshindwa kunisahau na amefanya visa had wameachana akafunga safari had Morogoro tukaa week1 akarejea Mwanza, now tupo kwenye harakt za kuoana tupo wote Mwanza.

NOTE:HUYU MANZI ALIKOSEA NAMBA TU NDIO IKAWA MWANZO WA MM NA YEYE KUFAHAMIANA.
Nyie mtadumu kwasababu kila mtu kashahangaika huko sasa mmeamua kutulia pamoja
 
😁😁 babu umetumwa eeee haha
Hahahaha............pole Mkuu, hata sisi tumewahi kupitia hiyo hali tena miaka yetu hata simu za kupigiana mara Kwa mara hazikwepo lakini tuliweza kuvuka

Muhimu hata ukiletewa mtoto ambaye unadhani hujashiriki kumtafuta kubali kuwa ni wako maana Siku zote "Kitanda hakizai haramu" 😜🏃🏃🏃
 
Kwa Dunia ya sasa ni ngumu sana mahusiano ya mbali yakadumu. Labda iwe kama mlishakula viapo vya Ndoa

Lakini kama ni Uchumba wa kuitana baby baby nina uhakika wa asilimia 85 ya hayo mahusiano kutofika mbali

Hebu fikiria mpenzi wako ana magroup ya Whatsapp kama 7 hivi, yakiwemo yale ambayo wanatumiana nudes ambazo zinaweza kumfanya atamani kulalwa ama kumlala mtu.

Halafu wewe unajifanya Mwamba Kwa kumpigisha nudes video calls ama sex chats ambazo zitamfanya awe wet

Yaani hapo akikutana na fine boy yeyote anamtunuku tunda 😜
Waambue vijana waoe/kuolewa,waaachane na vijambazi vya mapenzi vitawaua.
 
Mzee wangu hakuwahi kukaa na mama alikua anaweka mimba na kusepa ila watoto wote ni wake , zaman watu walijua kuvumiliana na walikua na upendo wa kweli.
Hiyo kama ulivyosema ilikuwa zamani

Hata sasa wachache bado wanaendelea, Mwanamke anaweza kuwa anachepuka huku akitumia uzazi wa Mpango.

Mwenyenyumba akifika tu anamtegeshea kitu kinasoma🙌
 
Back
Top Bottom