Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
KweliiMkuu mbona unazidi kuzamisha jahazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KweliiMkuu mbona unazidi kuzamisha jahazi.
Uko sahihi babu mahusiano YA mbali mwenye nguvu Ni Yule Wa karibuKuwa na imani na Wazee Mjukuu 😜
Kuchepuka haiwezi kukwepeka , cha muhimu uhusiano bado upo hai tu😁Hiyo kama ulivyosema ilikuwa zamani
Hata sasa wachache bado wanaendelea, Mwanamke anaweza kuwa anachepuka huku akitumia uzazi wa Mpango.
Mwenyenyumba akifika tu anamtegeshea kitu kinasoma🙌
🤣🤣🤣🤣Babu naomba utoke kwenye uzi wangu please.
Hakika MjukuuUko sahihi babu mahusiano YA mbali mwenye nguvu Ni Yule Wa karibu
😅😅🤣🤣🤣🤣
Ni kweli ila nyie wanawake mnaweza kumudu uvumilivu , ila kwa sisi lazima tushushe window tu😁Mpaka sasa inawezekana japo si kwa kiwango km miaka hiyo,
Hahaha...........bora achekupe na Wazee, akichepuka na Vijana unadhani kuna chochote utaambulia Mkuu?Kuchepuka haiwezi kukwepeka , cha muhimu uhusiano bado upo hai tu😁
Babu unajifanya una wivu kumbe hovyo kabisa🤣🤣Hakika Mjukuu
Kwa Vijana wenye malengo na wanaishi mbalimbali na wapenzi wao wajitahidi kutenga muda wa kutembeleana Mwezi huu Mkeo anakufata ulipo Mwezi Ujao Mume anamfata Mke.
Sisi wenye wivu tulitumia mbinu ya kuwajaza mimba Kila baada ya miaka 2 😜
Nyie mtadumu....Aiseeeeeh !
Tunawasiliana kila muda kama tumekutana jana , ametoka kuniringishia "nyonyo" kwa video call na yuko kazini muda huu.
Toka kwenye uzi wa mwenzio🤣
Sasa uhusiano ukiwa Hai alafu Upendo hakuna Ina faida ganiKuchepuka haiwezi kukwepeka , cha muhimu uhusiano bado upo hai tu😁
Sasa kwanini mjitese, ikiwa wa karibu wapo!!Ni mazuri ila yanatesa sanaa kuna muda mtu unahitaji sana mizagamuo
Kumbuka Mimi ni Mzee lakini 😜Toka kwenye uzi wa mwenzio🤣
Hapo ndo unatakiwa ukazie,Nimekupata mkuu, ngoja niongeze juhudi kwenye communication niliyumba kidogo.