min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mnaweza kusalitiana mkiwa hapo hapo ndani , shida inakuja michakato ya kimaisha ndio inawaweka mbali , funga pingu za maisha hata akichepuka atarudi tu cha muhimu bado ipo haijatoweka.Ni ngumu sana kama mmoja ndie anaempenda mwenzie sana.asilimia 98 yamejawa na usaliti mzito.sishauri mahusiano ya mbali