"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Uko sahihi babu mahusiano YA mbali mwenye nguvu Ni Yule Wa karibu
Hakika Mjukuu

Kwa Vijana wenye malengo na wanaishi mbalimbali na wapenzi wao wajitahidi kutenga muda wa kutembeleana Mwezi huu Mkeo anakufata ulipo Mwezi Ujao Mume anamfata Mke.

Sisi wenye wivu tulitumia mbinu ya kuwajaza mimba Kila baada ya miaka 2 😜
 
Unakuta Jamaa Yuko mkoani anajifanya Yuko busy Sana mawasiliano dhaifu alafu unakuta binti ofisin Kuna Mwamba Nampa attention anamuongelesha kila saa anamchekesha anamtania Tania anamsifia Sifia mwishowe Moyo Wa binti unahama .. mapenzi Ni starehe
 
Hakika Mjukuu

Kwa Vijana wenye malengo na wanaishi mbalimbali na wapenzi wao wajitahidi kutenga muda wa kutembeleana Mwezi huu Mkeo anakufata ulipo Mwezi Ujao Mume anamfata Mke.

Sisi wenye wivu tulitumia mbinu ya kuwajaza mimba Kila baada ya miaka 2 😜
Babu unajifanya una wivu kumbe hovyo kabisa🤣🤣
 
Kwenye haya mahusiano ukiweka sana hisia mbaya lazima kikulambe kikubwa kubwa na communication nzuri na imara na kuomba Mungu pia.. yangu ya mwanzo Binti aliishia kuolewa ila ya pili naona Kwa hapa ilipo Iko poa.
 
Long distance yangu kwanza huwa sipigi simu usiku, sipigi kama sio mda wake wa kuwa kazini, sipigi kama sijapigiwa. Unaweza piga likapokea jamaa ukafa na presha. Ila najua hanichiti maana kila nikienda huwa nakuta pop sound ipo.
 
Back
Top Bottom