Hahahah ukiwa mbali jiwekee tu lazima uchapiwe itakusaidia afya ya akili babu hata kama hatochapwaππHata hivyo bora tumezeeka sasa vinginevyo na huu wivu wangu sijui kama ningeweza kuvumilia kuchapiwa ππ
Muache aende,Almost 18 months.
It was unexpected. We met once. We had constant communication, show affection, loving, caring and supporting each other during good and bad times. Just recently, he told me La roche nimechoka your bad attitude and blah blah nyingi. but i know myself im a good girl π
Itβs painful and difficult to accept it from someone you talked to everyday and now heβs goneβ¦
Wenye hili husiano wajitahid kumaintain mawasiliano other wise ni kujifariji tuAcha tu kumbe sio mim peke yangu tupo wengi
Mawasiliano najitahidi sana.Wenye hili husiano wajitahid kumaintain mawasiliano other wise ni kujifariji tu
AiseeIlidumu mpaka pale aliponiambia nimtumie suti kwa ajili ya kaka yake kuolea na mimi nikatuma kuja kugundua ilikuwa ni suti ya bwana harusi anaemuoa yeye, kuvaa siku ya ndoa yao.
Mawasiliano najitahidi sanaWenye hili husiano wajitahid kumaintain mawasiliano other wise ni kujifariji tu
Bangi ya leo kali sana babu yetu.Koh Koh Koh ........hii Kiko ya leo inafanya nikohoe sana yaani π
Sijui inakuwaga ni nini...Kumbe sio peke yangu aisee yaan kuanzia 30 nimebadilika kila kitu nafurahia maisha bana
Mim kwanza
Hapo sasa unajiuliza nilikuwa najibana ninππππWenye hili husiano wajitahid kumaintain mawasiliano other wise ni kujifariji tu
Mm yangu yalijifiaga na hii mwanzo Huwa mzuri Sana ila badae ni masikitiko unawaza muda ulopteza Bora ungeenda kulimaπ€£π€£
Msinitishe kwanza sikumkuta bikra mimi.Lazima uchapiwe bwasheeπ
Ila pambana sana ni ngumu mno wengi tunadanganyana tuMawasiliano najitahidi sana.
Yap na ndio maana mim namuelewa sana Zari/shilole wanajipenda mnooo na ndio wanaume walivyo kwa sababu wanaume wanajipenda mnoo na huwa hawafikirii mtu wanajifikiria waoSijui inakuwaga ni nini...
Maana kwenye 20's haikai hivyoπ€£
Kachape kazi utaikuta tu bwasheeMsinitishe kwanza sikumkuta bikra mimi.
Nilichoamua sasa ni kutembea na usemi wa " hainaga makombo" basi.Ila pambana sana ni ngumu mno wengi tunadanganyana tu
Na unafiki mwingi lazima service ifanyike banaIla pambana sana ni ngumu mno wengi tunadanganyana tu
Ukitaka kupunguza pressure na wewe huko vuta chuma ila usimsahau mkeoNilichoamua sasa ni kutembea na usemi wa " hainaga makombo" basi.
Hujamuelewa20, level ya upwiru ni kubwa unakuta maamuzi yanafanywa na upwiru badala ya akili.
Muache aende,