min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hahahah ukiwa mbali jiwekee tu lazima uchapiwe itakusaidia afya ya akili babu hata kama hatochapwa😁😁Hata hivyo bora tumezeeka sasa vinginevyo na huu wivu wangu sijui kama ningeweza kuvumilia kuchapiwa 🙌😅