"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Polesana
 
mie nasemaga relationships are about sex, mambo ya goals achia halland.
binadamu tunataka intimacy ssasa haya mambo ya kujidanganya sijui whatsapp video call huo ni uwongo tuu.
sawa tutaoa na tutafanya kazi mbali mbali kutokana na maisha ila ukweli ndio huo.
umaskini tuu unatupa shida ila kidume una hela zako, weka ndani mke kila leo unajigegedea kwa raha zako.
 
Kwenye uwanja wa mapenz mm bado nimchanga sana ila na roho ngumu! Siwez kubembeleza
 
Mkipatana mnaojiheshimu na kuheshimiana mnaweza, lakini isiwe miaka yote muishi mbalimbali baada kipindi fulani lazima urudi. Kwa kifupi long distance relationship iwe temporary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…