Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mimi kiukweli sikumbuki long dusrance relationship ilidumu kwa muda gani kwa sababu ni muda mrefu nilisha declare hii mimi siiwezi. Kuna huyu mtu tumetofautiana kilomita 250 tu yalinishinda