"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Habari wakuu,

Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake.

Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tu awe kati kutoboa ni kazi.
We mwaka duuh mi miezi miwili sasa na nishachemka nimekamatia kitoto cha 2000 chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…