Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Kwani wewe hela huipendi....Si unaona sasa 🤣🤣
Sema Suuu🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe hela huipendi....Si unaona sasa 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Husiano limepatikana🤣🤣
Kumekuchaaaa😅😅😅Dada naomba hela 🤣🤣
Tatizo mnatudharau sana😁Muache gubu sasa🤣
We mwaka duuh mi miezi miwili sasa na nishachemka nimekamatia kitoto cha 2000 chapHabari wakuu,
Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake.
Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tu awe kati kutoboa ni kazi.
We dada wewe kuwa na huruma kwa mdogo wako🤣Kumekuchaaaa😅😅😅
Hapana, mkiwa na hela tunawaheshimu balaa. Tafuteni hela🤣Tatizo mnatudharau sana😁
Hela inaongeza urefu eee😁Hapana, mkiwa na hela tunawaheshimu balaa. Tafuteni hela🤣
Mkuu umeshindwa kuvumilia kabisa.We mwaka duuh mi miezi miwili sasa na nishachemka nimekamatia kitoto cha 2000 chap
Aaah wapi, inapendwa pesa na mtu atapendwa hata baadae.🤣🤣🤣
Anapendwa mtu, na pesa zake.
Yaani Hashim Thabit huyu hapa🤣🤣Hela inaongeza urefu eee😁
Acha kuchanganya mambo🤣🤣🤣Aaah wapi, inapendwa pesa na mtu atapendwa hata baadae.
Ngoja niongeze juhudi aisee kuzisaka😁Yaani Hashim Thabit huyu hapa🤣🤣
Basi ndio unaanza kurefuka hivyo.Ngoja niongeze juhudi aisee kuzisaka😁
Na Pesa kama ipo....Siyo kitu ya kunyimwa..Acha kuchanganya mambo🤣🤣🤣
Anapendwa mtu, halafu inatokea tu coincidence kuwa ako na pesa.