"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Alikujomesha,unaweka furaha Yako Kwa binadamu? 🤣🤣🤣
 
Najua nyie wawili swala la kupagawishwa ni kwenye pesa tu, huko kwingine tunawaachia wadada wa kipare na kinyaturu...🤣🤣🤣nyie uwiiii inakuja kwa sababu ya pesa tu
Acha kutuchafua🤣🤣🤣
Tunapenda mpaka tunapenda tena.
Wapare wana mapenzi ya dhati na makande tu!!
 
Ngoja nimwambie nayeye akizidiwa apige selfie kidogo aisee, maana kumegewa kusikie tuu. Naona ananitumia sms za kunimiss sana hadi naogopa.
Utatumiwa hizo sms na ata megwa kama kawa,point ni amekupa nafasi gani ya mume au mpenzi? Na anaweza pata mwingine huko Aliko na probably yupo kabisa.

Huwajui vizuri wanawake,labda awe Mke mna ndoa hapo atamegwa ila mwisho wa siku atakuwa Mke vile vile hawezi olewa twice
 
Mkuu umeamua kunipiga mkuki wa moyo kabisa😁
 
Mtoa mada mateso yanaendelea 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…