"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Kama umeamka salama mwambie mungu khasante Kwa pumzi yako Kwa kunipa kibali cha kuishi Kwa mala nyingine maana kuna wengine mda huu wako mahospistal wanahali mbaya wanataman kumwomba mungu wanashindwa basi nachukuwa nafasi hii Kila mtu amuwambie mungu khasante na utabarikiwa INSHALLAH πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…