Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kama umeamka salama mwambie mungu khasante Kwa pumzi yako Kwa kunipa kibali cha kuishi Kwa mala nyingine maana kuna wengine mda huu wako mahospistal wanahali mbaya wanataman kumwomba mungu wanashindwa basi nachukuwa nafasi hii Kila mtu amuwambie mungu khasante na utabarikiwa INSHALLAH 🙏🙏🙏