Miaka 8 unapiga kelele, Nyerere alitawala miaka mingapi aliweza kuzuia njaa na wakati alipo kuja kulikuwa kuna kila kitu kawachiwa na wakoloni.Sio kila kitu akikwambia Ustaadh Ilunga unaamini. Hao watoto under 5 na hizo mimba unazoziona hapo ni za sasa na rais wako ana miaka 8 madarakani ameshindwaje kuwasaidia hao na yeye anajiita Bwana/ Bibi MAENDELEO
Iko wazi adui wa Waislamu wajinga kama wewe ni Nyerere, hili linafahamika wazi.Hizo njaa alizeleta nyerere mpaa kuziondoa inataka kazi sana.
Miaka 8 unapiga kelele, Nyerere alitawala miaka mingapi aliweza kuzuia njaa na wakati alipo kuja kulikuwa kuna kila kitu kawachiwa na wakoloni.
Usifananishe nyerere na kikwete hata siku moja utachekwa.
Uchumi gani wewe aliyo ujenga zaidi ya kudhulumu mali za watu...Msajili wa majumba sijui nini, hebu nieleze nini nyerere alicho kifanya.Nyerere alijenga viwanda Kikwete kabomoa viwanda....
Nyerere alijenga uchumi, Kikwete ameua uchumi...
Nyerere alipiga vita rushwa, Kikwete anapokea rushwa...
Nyerere hakuwahi kupelekwa The Hague, Kikwete atapelekwa The HAgue...
Need I say more....
Hata nikueleweshe vipi huwezi kuelewa alichokifanya Nyerere kwa kuwa tayari umeaminishwa kuwa yeye ndio aliiua East Africa Muslim Society...Uchumi gani wewe aliyo ujenga zaidi ya kudhulumu mali za watu...Msajili wa majumba sijui nini, hebu nieleze nini nyerere alicho kifanya.
Kama mnavyo fanya nyie mnadhani wote, sioni sababu ya kumchukia nyerere kidini.Iko wazi adui wa Waislamu wajinga kama wewe ni Nyerere, hili linafahamika wazi.
Hizo njaa alizeleta nyerere mpaa kuziondoa inataka kazi sana.
u better be paraying and fasting for ur coming GEs..haya mambo ya kusifia ujinga hatutaki,by th way mamab ya Tz yanauhusu wenye Tz yetu...acheni unafiki!
Azue uislam!! nadhani una ota, hakuweza na hata siku moja hakusubutu na alikuwa hana uwezo huo, uislam hakuna anaye weza ku-uwa..sio yeye wala kiongozi wowote duniani atakaye subutu...usicheze na uislam dogo.Hata nikueleweshe vipi huwezi kuelewa alichokifanya Nyerere kwa kuwa tayari umeaminishwa kuwa yeye ndio aliiua East Africa Muslim Society...
wewe ndo mnafiki mkubwa kama ukitaka kusifiwa basi si uwanie urais tz lakini unajua vizuri ikifika mbivu na mbichi CCM ndo wataendelea kutawala
Napo ongelea njaa nilikuwa naongelea yule aliye sema kikwete ndo kawa-wacha hao njaa kwenye picture.njaa hiko kila pahali afrika hata kenya kwa hivyo tumlaumu bw. Kikewete?
Azue uislam!! nadhani una ota, hakuweza na hata siku moja hakusubutu na alikuwa hana uwezo huo, uislam hakuna anaye weza ku-uwa..sio yeye wala kiongozi wowote duniani atakaye subutu...usicheze na uislam dogo.
Msiende kwenye dini mtalia sasa hivi, bora mbakia kwenye thread inavyo sema.
Ingekuwa somo la kuchoma makanisa na kufanya ugaidi ungeelewa mara moja, lakini kuhusu Nyerere anayeuliza alifanya nini huyo moja kwa moja si Mtanzania.Kama mnavyo fanya nyie mnadhani wote, sioni sababu ya kumchukia nyerere kidini.
Namchukia sababu siasa yake imewarudisha nyuma sana wa Tanzania.
Nielezeni kitu gani nyerere alijenga zaidi ya kubomoa.
si mnajua uidhaifu wa CCM ndo maan mnapenda waendelee kutawala ili muendelee kusema Mt.Kilimanjaro ipo Kenya.....hatuwapi tena kura zetu...wachawi wakubwa nyie,wana watokea pabaya hamna hata chembe ya soni!
leo umekunywa kiroba cha jogoo au mbege? manake unaropokwa tu huna lolote lipya wewe
jitahadhari na upumba,hata kama humpendi kikwete bado yeye ni rais.CCM juu juu zaidi
Wacha kelele leta kitu gani nyerere kakifanya zaidi ya kudhulumu wahindi na warabu majumba yao.Ingekuwa somo la kuchoma makanisa na kufanya ugaidi ungeelewa mara moja, lakini kuhusu Nyerere anayeuliza alifanya nini huyo moja kwa moja si Mtanzania.
nyinyi ndio wafuasi wa Mohamed Said. Gaddafi aliwajuwa vyema hamuitaji msaada wa mashule wala Hospital bali mjengewe misikiti na kuletewa tende na majambia tu.