fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,031
Miaka 8 unapiga kelele, Nyerere alitawala miaka mingapi aliweza kuzuia njaa na wakati alipo kuja kulikuwa kuna kila kitu kawachiwa na wakoloni.Sio kila kitu akikwambia Ustaadh Ilunga unaamini. Hao watoto under 5 na hizo mimba unazoziona hapo ni za sasa na rais wako ana miaka 8 madarakani ameshindwaje kuwasaidia hao na yeye anajiita Bwana/ Bibi MAENDELEO
Usifananishe nyerere na kikwete hata siku moja utachekwa.