Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
,πππWeee umetoa Bokoπππππ
dada mpishi, Leo nikajaribu kupika macaroni, nimecheka balaa..!! Nitakutumia picha ucheke pia..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
,πππWeee umetoa Bokoπππππ
dada mpishi, Leo nikajaribu kupika macaroni, nimecheka balaa..!! Nitakutumia picha ucheke pia..!!
Tafadhali dada zangu huu Uzi umeandikwa bar, mtu amepiga vyombo hapa.Gentleman, humble, honest, God fearing man, who has determination of great success in life hereby looking for a serious single woman who is looking for a man to engage in and establish serious relationship - long-term relationship (marriage).
Preferably a woman with the following merits: age between 25 to 30; God fearing woman; matured woman who respect herself and others too; humble, good upstairs, and with good heart is cordially invited.
OBJECTIVE: Long-term relationship (marriage and have a very good family - father, mother and children).
Any woman who is interested by considering the mentioned merits above, feel free to contact me through Pm.
Thank you for your cooperation ππ
ππ,πππWeee umetoa Bokoπππ
πππMaji yakizid tatizo Sasa mm pia nilipika vikaanza kuchanika chanika nikaona oohoπππππ
ladha nzuri ila nili overcook,
πππππππMaji yakizid tatizo Sasa mm pia nilipika vikaanza kuchanika chanika nikaona oohoπππ
Ndo maana Nimecheka sana ilo tatizo la wote dear
πππIla kupika jamni sometime ni majangaππππ
eti vikaanza kuchanika chanika, nimecheka..!
Nimeambiwa natakiwa ikae jikoni dakika 7 tu wakati wa kuchemsha pale mwanzo, halafu wakati wa kumix na nyama ya kusaga ama sausage haipaswi kukoroga, unarusha rusha kama vile kwenye ndizi (kama hutaki zikatike-katike)
Ila nilifurahi maana wamekipenda 'taste' ilikuwa nzuri, na kiliisha pyuu, wakati Mimi nilikuwa naogopa balaa..!
πππππππππIla kupika jamni sometime ni majanga
Mm sikupata hamu ya kupika Tena mbele za watu Huwa napikaga nikiwa mwenyew japo walivipenda pia ila hapana
Sasa nilipata msala wa kutaka kupika rice puncake unga ukagoma kuumuka tangu saa 12 had saa 4 usiku πππππ
πππCheka tu mwayaππππππ
Nimecheka kwa sauti mbele za watu, ni nini lakini we dada..!!π
πππππππππππCheka tu mwaya
Kuna jirani alikuwa anakuja kwangu kuangalia nachopika namfundisha fundisha mumew Huwa kazi zake za night tulikaa nje saa 4 kusubiri wapi nikamtuma unga na bamia tupike ugali tukala saa 5 πππππ
nilimwaga ule unga nikaloweka mchele mwingine yaan usiku nililala nawewesekaππππππππ
mbona unga na bamia..??
ulijaribu tena baada ya hapo..??