ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Jamani Kuna vitu huwa navimiss sana ila basi tu.
Mfano_kukoboa mahindi kwenye kinu ilikuwa raha sana.
Kwenda kuchota maji na mtungi ukiyaweka mpaka asubuhi yabaridiiii.
Kupika wali na kupalia makaa!matandu ya maana!achana kabisa na rice cooker.
Kufua nguo kwenye jiwe mtoni.
Kusuka mabutu kwa shosti!(hakukuwa na salon)
Kwenda shule kwa mguu asubuhi na kurudi kula lunch saa sita.
Kuamia ndege kwenye shamba la mpunga/mtama[emoji23][emoji23][emoji23]
NB: mjukuu wangu anadhani mtama unapatikana kwenye mti kama mkaratusi.