Long walk to success

Quartz360

Senior Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
133
Reaction score
317
Habari wana jukwaa.

[emoji117]Kuna kitu kimekuja akilini mwangu, na kinaniambia endapo vijana watakitilia maanani, basi uwezekano wa wao kupata mafanikio ni mkubwa.

[emoji116]
1. Kujenga urafiki na MUNGU.
2. Kujiwekea malengo.
3. Bidii na nidhamu ya kazi.
4. Kutafuta maarifa sahihi.
5. Kuepuka uasherati.
6. Kuepuka Pombe.
7. Kukubali kuanzia chini.
8. Kujifunza kwa waliofanikiwa.
9. Kuheshimu wazazi na wanajamii wote.
10. Kuwa na mhimili wa watu sahihi kwenye maisha.

#MyCountryPeople[emoji1241].
 
Mkuu vipi nawewe umefaulu au sote tuache uasherati...?😂
 
KUHESHIMU WAZAZI SAWA ILA WANAJAMII WOTE HAPANA..LABDA NYINYI WA OYSTER BAY SISI WA BUZA JAMII ZETU HAZIJIESHIMU,NITAWAHESHIMU VP
 
Tunashkuru mkuu kwa kutukumbusha.

Mimi nimeanza na no. 6 then nakuja no. 5. afu naunga mpaka no. 1. Aloo nikifanikiwa hapa. miaka 10 ijayo Ntakua mdhamini wa Simba kama bado itakua hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…