Long weekend mood...activated

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Tupa shida chini nyosha mikono juu, nafikiri ni muda muafaka kutafakari maisha kwa kupata kinywaji chako pendwa na kujumuika na ndugu jamaa na marafiki. Mwisho wa mbio za kwanza ndiyo mwanzo wa mbio za pili. Usichukulie maisha kiumakini sana kwani hauta ishi milele, tukutane tena jumanne kwenye siasa na mambo ya hapa na pale.
 
Shelk mkuu ni mjanja sana, kaona Dec 9 ni ijumaa akaona apige J3 siku 4 mapumziko, Jinsi watanzania tulivyo wavivu hii ni neema kwetu.
 
dah¡ mkuu kabana aisee hii long weekend ilitakiwa itokee enzi zile za mkuu mwingine. kungekua na mafuriko na overproduction plus over supply.
 
dah¡ mkuu kabana aisee hii long weekend ilitakiwa itokee enzi zile za mkuu mwingine. kungekua na mafuriko na overproduction plus over supply.
Tena kwa yule mkuu mwingine angeweza kuongeza siku moja ya ofa so tungeonana j5 kabisa... Huyu mkuu wa sasa anatamani afute Hata hizi siku,anyway,Mungu anamuona anavyotuonea
 
kwa mwana jf aliye tayari tukajiachie wikend hii ani pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…