MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Tupa shida chini nyosha mikono juu, nafikiri ni muda muafaka kutafakari maisha kwa kupata kinywaji chako pendwa na kujumuika na ndugu jamaa na marafiki. Mwisho wa mbio za kwanza ndiyo mwanzo wa mbio za pili. Usichukulie maisha kiumakini sana kwani hauta ishi milele, tukutane tena jumanne kwenye siasa na mambo ya hapa na pale.