LOOK ALIKE CHALLENGE: Sonia mtoto wa Monalissa Yvonne Cherrie na Zamaradi Mketema ni kama mama na binti yake

LOOK ALIKE CHALLENGE: Sonia mtoto wa Monalissa Yvonne Cherrie na Zamaradi Mketema ni kama mama na binti yake

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
15,892
Reaction score
16,476
Habari zenu wakuu wa humu jamiiforums

Picha hapo chini ni mwana mama Zamaradi Mketema (Kushoto) pamoja na Sonia binti wa Monalissa Cherrie (Kulia).

images (4)a.jpg


images (5).jpg


NB: Mimi Infantry Soldier sio msomaji sana wa jukwaa hili la JF celebritites wala mtazamaji wa mara kwa mara wa movies zote kwa ujumla ila ninatambua sana mchango wa tasnia hii katika ukuaji wa uchumi wetu pamoja na burudani katika jamii. Mungu abariki kazi za mikono yenu wasanii wote wa Tanzania.


USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Sikh ya harusi ya ex wangu nitacheza muziki mpka keki yao ilipo .
Niifumue mateke iangukie uko ..siwezi kubali kizembe
 
Labda weusi tu. Sonia kafanana na mama yake
 
wamefanana kwenye picha au wamefanana kiuhalisia,
maana picha sometime inatoa wrong image
 
Back
Top Bottom