ha ha ha, hako katoto kana bahati.
Labda mama ake aliwapenda hao watu wakati mjamzito.
Kwahiyo wewe unavyompenda mama,dada na kaka zako kunakufanya kicheche? Maana kupenda sio lazima ngono ihusike.
Niambie kwanza. . .
Alafu huyo besti maridadi wako kanipandisha na barabara siku ya leo karibu kichaa kinipande.
hmmm hii mupya!haya ukishamtafuta?Navutiwaga sana na vituko na shepu ya Anti Ezekieli (muigizaji). Mtaani kuna baa medi kafanana nae almost 95%, nimejikuta siichoki hiyo baa, na nikienda lazima nihudumiwe na yeye. Kama hayupo job namfatuta...
Wapo watu ambao hua tunawafananisha kwa muonekano, namna ya kuongea, kifikra au walivyo tu kiujumla na watu wetu wa karibu au tunaowafahamu tu.
Hii inaweza ikasababisha mtu akawa na hisia mbaya au nzuri sana na mtu asiemfahamu kwasababu tu anamkumbusha mtu ambae hayuko nae vizuri/yuko/alikua nae vizuri sana kimahusiano, awe rafiki, ndugu au hata mpenzi.
Swali langu ni je, umewahi kujikuta unampenda mtu kwakua anakukumbusha mtu fulani ambae inawezekana yuko mbali sana na ulipo wewe au hata alishaaga dunia hii?
Lizzy we umemfananisha nani tu?
Kurwa na wewe kwa kupenda kutafuniwa na kumezewa....
Jibu mbona lipo sana wazi au kwa sababu nilikuwa sijatokea??? lol
hahahahahah
Dahhh kakufananisha na nani tu??
"Kumwaga kuku kwenye mchele wengi"?? uh rule of the game hahahahahah
Tufuate Pm.!!
hahahhahaahha lol
kumwaga kuku haya bana ..
sasa huo mwaliko wa PM umeiva au nisubiri kidogo?
Ngoja aamke ili tufanye "triangulation"
Hivyo subiri kiduchu tu kwaajili ya 'Malkia" wetu
Hhhhmm NO ONE jamani. . . nlikua nafikiria tu.Lolz
Nimeipenda hii sred Malkia
Binafsi sijawahi...
Ila nadhani nimekuwa nawasababishia watu huo mkanganyiko wa kunifananisha na watu wao...
Cha kuchekesha wengi walionifananisha na "watu wao" niliishia nao kwenye mahusiano ya zaidi ya urafiki wa kawaida, ila ni katika mazingira tofauti-tofauti!!!