Kwa hili kama kuna watu bado wanategemea kutoka nchi za nje basi kuna uwalakini kichwani mwao. Mungu katujaalia warembo wa kila aina nchini mwetuVitu vyote vya thamani tunavyo tomba na kuringa navyo hapo Bongo vyote vimetengenezwa nchi nyingine sisi tumekuwa wazee wakupokea tu na sio kuzalisha.
Bidhaa zote Mkuu.Lawama ziende mboga mboga!
Tanahitaji balance kuwa na 50/50 import & export ya bidhaa zote .
Ili kuwa na uchumi himilivu (fursa zinazoongezeka) wa kuweza kukabiliana na tatizo sugu la ajira, ugumu wa maisha n.k
wakati wao ziko bidhaa hawapokei kutoka kwetu sisi kila bidhaa tuna ruhusu kuingiza kutoka kwao bila kujali adhari za kiuchumi
Sasaivi hata zile bidhaa ambazo mababu zetu waliweza kutengeza zinatoka China.
Nimeishia hapa kusoma.Vitu vyote vya thamani tunavyo tomba na kuringa navyo hapo Bongo vyote vimetengenezwa nchi nyingine
Hata ni hivo ni kwel si wanaenda kupanya upasuaji uturuki?😀 naona upo makini sana Mkuu umeona hapo tu.
Mkuu hata nchi zinazo zalisha zinapitiwa na hiyo mikono.
Nakueelewa mkuu lakini haina maana kwamba tushindwe kuzalisha hapa ndani.Hao wanaozalisha ndo wanao-fund hizo taasisi.
Masharti yao na yetu hayafanani...