landibongo
Member
- Mar 24, 2025
- 47
- 187
Uko sahihi.Hajakosea!!
Binti akizaa halafu hajapata Punda wa kumbebea mizigo Huwa wanaweweseka sana!!
Siku akipata punda TU hata ukoo wa kichina hatoufikiria tena!!
Wengi wao huwezi kuwashauri hasa wakihisi kuna pesa mahali ushauri hauna maana.Nini unaweza kufikilia na kuwazua juu ya watoto wetu wa kike na dada zenu kutokana na tukio hilo?.
Siwezi kimbia mtoto mkuu 😁
Tatizo la dada zetu wana tamaa sana, alipoona Mchina akaamua amchanulue mapaja ikapenya kavuXi Jinping raia wako katelekeza mtoto huku.