He is a Tanzanian by employmentmay be a Tanzanian by registration
Luo si watu wa kenya hao...........
Najua ni wakenya lakini yeye kasema mtanzania...au ndo kachukua citizenship ya TZ au lipo hasa TZ. Nielewesheni
Luo si watu wa kenya hao...........
wapo Mara pia so ni watu wa musoma kama walivyo wamasai wapo kenya na tanzania
mbwembwe tu hizo zakupata toto la kitz hakunaga mjaluo mtanzania labda kule marekani kwa obama .
je unafahamu mbunge wa rorya?Lameck Airo ni mjaluo,Ezekia Wenje ,pia
haha okay sa anaetafuta beatiful to marry sijui
kapotelea wapi angetujibu
He is a Tanzanian by employment
nipo hapa
kwa kweli when it comes to Siasa my
mind is blank..........
je unajua kwamba hata mamake Mwalimu Nyerere alikua mjaluo?
I am Michael Odero,twenty two years old.Am a luo tribe ,Tanzanian,currently staying at Lamadi.I am ateacher by proffesion and working in a private school.Am looking for a girl who is between 18-20 years old ,beautiful,of any colour,form 4 or O level leaver and any other qualification that suit someone to be married.Please contuct me on this number;0768514876.Thanks in advance
acha mbwebwe we mjaluo unatafutavichwa mpaka huku jf.haya sasa kaz kwako ukipata more than one ni fowardie.its me profesional.