Looking for a beautiful to marry

Looking for a beautiful to marry

Hawa jamaa mara walikuja kiwiziwizi kipindi cha vita 2007. Halafu ni waafrika halisi weusi tii. Nilikutana na mmoja nikataka kukimbia.
 
Najua ni wakenya lakini yeye kasema mtanzania...au ndo kachukua citizenship ya TZ au lipo hasa TZ. Nielewesheni

mdau wapo Mara Musoma ni kama wamasai wapo TZ na kenya pia( mdau wajaluo hao) akina omela!
 
Huyu ni kati ya wale watusi 3000 waliopenyezwa na kagame,hakuna muoaji hapa zaidi ya kuji co-opt ktk system yetu.
 
mbwembwe tu hizo zakupata toto la kitz hakunaga mjaluo mtanzania labda kule marekani kwa obama .

Jamani wajaluo nimojawapo ya makabila yanayopatikana Tanzani Mkoa wa Mara. Mbona Kenya kuna County ya Kurya! ambapo huku kwetu tunawaita wakurya hao wa mpakani mwa kenya yani Sirali na tarime wanaenda hadi kenya huko.
 
Hiyo inglish si ya Mluo...:rip:

The luo are very proud people buana. They write perissology literature and speak articulately not anything closer to the yemeless quagswag you wrote.

A Luo will not look for a beautiful to marry, he will ask for a hand in marriage to an African queen (preferrably Luo or white)

A Luo will never be a teacher, they would rather manage overflowing afterneeded nutrients (clean shit)

A Luo who is a teacher is infact a bibliobibuli man who so much deliciates epeolantry.

....You are not Luo!!!!
 
Kweli anapotupeleka huyu mtafuta mke ni pabaya ameshatudanganya wabunge wawili ni ndugu zake. Wa nyamagana na Rorya sasa anarudi kwa Nyerere mama yake alikua Mjaluo anataka badili historia ya tz kuwa Mwl alikua mkenya.
 
According to the law you are no longer a child,so you have aright to mary.
My concern is have you determined yourself that you are capable of parental responsibilities?
Or you need agirl to bytime,why remember marriage is not for fun but for life,if you marry at that age and God survives you for 80 years will you tolerate your wife that long?
If you mean what you say ,may the almighty God be with u.
 
You mentioned the age of your prospect spouse but you didn't mention yours. What are you hiding?
Are you looking for a Tanzanian to marry or opportunities to exploit in that marriage our land inclusive?
Are you Luo, kikuyu, kalenjin or maasai?
That should serve as a welcoming note to you. Karibu.

I am Michael Odero,twenty two years old.Am a luo tribe ,Tanzanian,currently staying at Lamadi.I am ateacher by proffesion and working in a private school.Am looking for a girl who is between 18-20 years old ,beautiful,of any colour,form 4 or O level leaver and any other qualification that suit someone to be married.Please contuct me on this number;0768514876.Thanks in advance



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
acha mbwebwe we mjaluo unatafutavichwa mpaka huku jf.haya sasa kaz kwako ukipata more than one ni fowardie.its me profesional.
 
acha mbwebwe we mjaluo unatafutavichwa mpaka huku jf.haya sasa kaz kwako ukipata more than one ni fowardie.its me profesional.

mnamawe kweli nyie mnaotaka vichwa humu wangu kanichosha kama vp chongeni fresh niwape.
 
Back
Top Bottom