mtungutu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 296
- 57
mie mwenyewe hapo nilipata mkanganyiko!!!!!!!
may be a Tanzanian by registration
Kuna wajaluo wa kenya na wa tz, ukienda Rorya, na hata Serengeti even Tarime(Sirari) unawakuta wajaluo wengi tu. Hata mbunge wetu Wenje pia mjaluo. Waolewaji msitie shaka.