Looking for a fellow SDA to be a friend and if possible a husband n father to my kids, preffarably living in EU

bee..badili..sabato ni dhehebu zuri sana..acha kitimoto..sasa ukifika huko nami nipigie pande..unipachike huko ju kwa ju...nitaftie na mm be khaa nan wa kubaki huku idodi
Hapo kwenye kitimoto ndiyo shida.Weye baki Idodi ulime mpunga tu.Ntakuwa nakutumia mipaundi kutoka Britain .Ufanye kilimo cha kufa na kuzikana.Hahahahahaaa
 
Hahahahaa nimecheka kwa ngv jaman haha eti.kufa na kuzikana😂😂😂😂😂😂😂😂...be haya be..ila mm eti niwe uropa nianze saka mtz cha kujipa presha ni nn kwanza😂😂😂...lol..
 
Kwa hiyo sisi wanaume wa Teezee hatufai?Utapata baridi shauri yako.Kooh kooooh!
 
😂😂😂😂
images.jpeg
 
Back
Top Bottom