Looking for a girlfriend

Looking for a girlfriend

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,102
Yap nipo Dar natafuta mchumba, umri wangu ni miaka 23 priority zaid kwa yule anayetokea maeneo ya dar
 
duh! mie bahati imeshanipita niko Tanga haya wa dar offer hiyoooooooo.
 
Du ucjal coz we ni kwanza kucoment let be you! can u"
 
Naomba kuuliza wajameni......hivi huku kuongezeka kwa kasi ya haya mabandiko ya kutafuta girlfriends humu jamvini, ndo kusema kuwa wadada wa humu wanapatikana kiurahisi sana au??
 
Aah sio kiiivo but weng wao ni waelewa, wastaarabu na wajitambua most of them wanaelimu zao na kaz zao but mostly they are critical thinkers"
 
Naomba kuuliza wajameni......hivi huku kuongezeka kwa kasi ya haya mabandiko ya kutafuta girlfriends humu jamvini, ndo kusema kuwa wadada wa humu wanapatikana kiurahisi sana au??

si hivyo!, nadhani vijana wengi balehe zao zilichelewa wameanza wakiwa na miaka 20 sasa kuzi-control ishu.
 
Achani kubana ona mpaka mnatokwa na povu kisa mijiwivu tu imewajaa manina zenu
 
Achani kubana ona mpaka mnatokwa na povu kisa mijiwivu tu imewajaa manina zenu

Asante sana kijana kwa busara zako, tumeshazipokea hizo manina zetu kwa upendo tele tele!! Usiporidhika tukana tena mpendwa wangu......you are warmly wellcome!!
 
Back
Top Bottom