Looking for a good girl....

Looking for a good girl....

Ragnar Fluke

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
374
Reaction score
116
Habari zenu wana jf....
Mimi n mwanaume mwenyeji wa Arusha ila nipo Dar kwa mda.......

Natafuta msichana wa kuchat (girl friend) na baadaye Mungu akipenda awe mke wang......

Napenda msichana mtulivu, mcha Mungu, asiwe mcharuko....

Umri usizid miaka 23......

Aliyetayari naomba aniPM.....
Npo serious sana
 
Khaa jamani yupo mmoja anasaka bwana kwa udi na uvumba naye tu aolewe ajenge heshima kwa jamii ana mtoto mmoja kaachiwa umri sna uhakika sana na hiyo utakayo yeee ni mkubwa kabila mchaga

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kuna stori ya jamaa mmoja ilikuwa hivi:-

Jamaa alikuwa kiwembe sana anakula mademu kama chizi, sasa kuna duka moja alikuwa anapenda sana kwenda kununua condoms, na hilo duka alikuwa anauza mama wa makamo. Maisha yakaendelea kama miaka miwili hivi kwenye mizunguko huko jamaa akawa amekutana na binti mmoja wakawa wamependana mpaka kufikia kuamua kwenda kutambulishana. Kumbe yule binti mama yake ni yule mwenye duka ambalo jamaa alikuwa ananunua condoms. Ikafika siku ya kijana kwenda kujitambulisha kwa akina binti, yuko na mshenga wake wamekaa sebuleni, mara wanaingia wazazi wa binti, kijana uso kwa uso na yule mama, kumbukumbu ikamjia ghafla, na yule mama akaonyesha kushtuka sana......................sasa pata picha kilichoendelea hapo
 
Si ndo ukweni wajue kwanza jamaa rijali pili anajali, so binti yupo kwenye mikono salama
 
Back
Top Bottom