hello wana jf,
rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi - yes
miaka awe btn 30-38 - yes
rangi-any - yes
kabila- any - yes
religion-mkristo - yes
asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa - yes
asiwe na kitambi - yes
asiwe na upara - yes
urefu wa wastani - yes
ambae hajawahi kuoa - yes
loving na awe na mapenzi ya dhati, - aisee mpaka utasahau ule usemi mnaosema kuwa wanaume wote shetani wao ni mmoja
caring,
mvumilivu, - kupita maelezo naweza kuvumilia kufa na kuzikana
muelewa, - kuliko hata spika wa bunge
sifa za shosti ni hizi
degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, nina miaka 27 na nina kazi.
Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na jf ila atajiunga soon. Mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa