Soma tena ulivyoandika!!Kwanza umesema sio wewe ile kwenye vigezo umeelezea kama ni wewe:A S 13:
duuhhhhhhhh,kila la kheri kama ni wewe na kama ni rafikiyo mfikishie.....ila huyo alopost wa kwanza anaitwa Hashycool hayuko available....akiku-PM niambie.......[/QUOTE]
Duh!!!!!! l.o.l
Nimeanza kugombana na dada yako Michelle huku kuna mtu anataka kumuuza bila mimi kujuaHivi mchumba hujanipatia wakunireplace bado??Changamkia dili hiyo!!!:wink2:
Mkuu....do something are not gonna send a PM....L.O.L:mvutaji::mvutaji::mvutaji::whistle::whistle:
duuhhhhhhhh,kila la kheri kama ni wewe na kama ni rafikiyo mfikishie.....ila huyo alopost wa kwanza anaitwa Hashycool hayuko available....akiku-PM niambie.......[/QUOTE]
Duh!!!!!! l.o.l
Wewe jaribu bahati yako, si unajua ishu sio kuwahi bali kupata.
Nimeanza kugombana na dada yako Michelle huku kuna mtu anataka kumuuza bila mimi kujua
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,
Sifa za shosti ni hizi
degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.
Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
natumaini nimejibu maswali yako kwa ufasahahello wana jf,
rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi - yes
miaka awe btn 30-38 - yes
rangi-any - yes
kabila- any - yes
religion-mkristo - yes
asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa - yes
asiwe na kitambi - yes
asiwe na upara - yes
urefu wa wastani - yes
ambae hajawahi kuoa - yes
loving na awe na mapenzi ya dhati, - aisee mpaka utasahau ule usemi mnaosema kuwa wanaume wote shetani wao ni mmoja
caring,
mvumilivu, - kupita maelezo naweza kuvumilia kufa na kuzikana
muelewa, - kuliko hata spika wa bunge
sifa za shosti ni hizi
degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, nina miaka 27 na nina kazi.
Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na jf ila atajiunga soon. Mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
Mimi hataki kuniambia nimeona ana mihadi na wiselady sijui anapelekwa wapiMhhhh nani tena huyo???
Mimi hataki kuniambia nimeona ana mihadi na wiselady sijui anapelekwa wapi
hahaha!ni ww unatafuta ama ni friend wako?!!!!!!!!!!kuna mahali cjaelewa kdg ila kila la kheri
GOD created TF and Lizzy
Umeonaa eeehhhh
Masika awe uliyo go?chililo kutiki go?Mwambie nimem-mind~elimu yangu form seven, na kazi yangu mimi ni mvuvi. Kama vipi tujichanganye!.:wink2:
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,
Sifa za shosti ni hizi
degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.
Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
Mhhhh!!!!! Eti eheeeeee????Sasa we Fynest utasutwa....wenzio labda wanapelekana saluni!!!!