Looking for a husband

Oh. Nimependezwa na sifa za huyu ms bt nataka kujua kama hajawahi kukutana na mme, tha is if she is virgin. If yes, we may proceed with the marriage arrangements after confirmation.

Halafu wewe,una-confirm vipi sasa kama sikutaka kumchakachua mtoto watu.
 
Sasa Truly nikituma PM maana ykae nakutumia wewe na sio huyo rafiki yako hapo imekaaje au mnasaidiana kuchambua CV l.o.l
 
duh!! dada kwani ukisema ni ww nani atakutoboa kidole cha macho? mwenzio karibia napata, shauri zako!!!!!!!! mficha .............. maradhi humuumbua ati
 
Du inaonekana viwango viko juu, ila kuna maeneo hayajaguswa mfano mtu hajaoa labda kabahatika kuwa na watoto na pengine labda kwa kiasi yuko around ya characters zilizopendekezwa. Changamoto hiyo vp unaweza kulea watoto wa mume mtarajiwa.
 

...siku hizi mnatafutana uchumba utadhani mnakwenda kutoana kafara,
si muanzishe maduka msimame kama midoli mkichaguana?


Namtaka huyo kaka kwenye avatar Mbu!..kidding!!
 
Karibu sana mkuu..yani utashindwa mwenyewe adventure ya Venice, special tour kwenye canals ukiuangalia mji pande zote..
Uje na wife!!
Dah!!! Nije na wife tena?? I am coming alone we si mwenyeji wangu
 

Hizo nyekundu zinaonyesha kuwa ni wewe unatafuta mchumba, kuwa wazi tu ndugu yangu tuko kipindi cha ukweli na uwazi.
 


looking for a husband???? And not a man to be husband?

 
Dena kwani red sina shida gani shosti? mwenyewe yuko serious anatafuta[/QUOTE


Ni wewe ama mwingine! Si useme tu ni wewe! Mara looking for mara sina mtoto??????????????????????????/
 
Truly, mimi nina sifa zote kasoro moja tu ya uvumilivu.... je rafiki yako yuko tayari kukifumbia macho hicho kigezo niku PM sasa hivi?
 

hujatenda haki kwa kutumia neno penda!!!!
Sema anataka Mume kupenda au kutopenda haina nafasi katika mfumo ulotumia!!!!
Mpigie huyu rafiki yangu kwenye hii namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…