- Thread starter
-
- #121
Ukisoma biblia wimbo uliobora sura ya kwanza utaona "mimi ni mweusi mweusi lakini ninao uzuri" kwa upande wangu ni mweusi na nimejaliwa uzuri. Kumbuka weusi huwezi kuununua dukani ila weupe wauzwa dukani. Mary Rose pale town duka la vipodozi ukienda pale kama wataka weupe waupata in a week. So think twice unapotafuta hao weupe uwe makini utafute original otherwise utapata mweupe feki. Nawasilisha
Msije anza kusema najichanganya, nilitoka kidogo nikamwachia computer akajibu hiyo hapo juu ndio maana unaona anasema kwa nafsi yake. Maana hamchelewi oh! anajichanganya ni yeye mwenyewe! nop, kama ni mimi nilikuwa natafuta wala nisingesita kusema kama ni mimi. Baadae kidogo wacha nichape kazi