Looking for a husband

Looking for a husband

Ukisoma biblia wimbo uliobora sura ya kwanza utaona "mimi ni mweusi mweusi lakini ninao uzuri" kwa upande wangu ni mweusi na nimejaliwa uzuri. Kumbuka weusi huwezi kuununua dukani ila weupe wauzwa dukani. Mary Rose pale town duka la vipodozi ukienda pale kama wataka weupe waupata in a week. So think twice unapotafuta hao weupe uwe makini utafute original otherwise utapata mweupe feki. Nawasilisha

Msije anza kusema najichanganya, nilitoka kidogo nikamwachia computer akajibu hiyo hapo juu ndio maana unaona anasema kwa nafsi yake. Maana hamchelewi oh! anajichanganya ni yeye mwenyewe! nop, kama ni mimi nilikuwa natafuta wala nisingesita kusema kama ni mimi. Baadae kidogo wacha nichape kazi
 
Mimi simo!!! Wizi mtupu unamtafutia rafiki yako mchumba??!!
JF kuna mambo humu!!!
 
Za asubuhi ni nzuri The Finest. Namshukuru Mungu kwa kunipa siku nyingine. Mimi nimeolewa mwaka jana. Anaetafuta mume ni my best friend.
Vipi bado mnaendelea ku-scan CV nataka nitume ya kwangu ila dah..........
 
Ukisoma biblia wimbo uliobora sura ya kwanza utaona "mimi ni mweusi mweusi lakini ninao uzuri" kwa upande wangu ni mweusi na nimejaliwa uzuri. Kumbuka weusi huwezi kuununua dukani ila weupe wauzwa dukani. Mary Rose pale town duka la vipodozi ukienda pale kama wataka weupe waupata in a week. So think twice unapotafuta hao weupe uwe makini utafute original otherwise utapata mweupe feki. Nawasilisha

Mmmmmhhhh
 
Msije anza kusema najichanganya, nilitoka kidogo nikamwachia computer akajibu hiyo hapo juu ndio maana unaona anasema kwa nafsi yake. Maana hamchelewi oh! anajichanganya ni yeye mwenyewe! nop, kama ni mimi nilikuwa natafuta wala nisingesita kusema kama ni mimi. Baadae kidogo wacha nichape kazi

Hajajiunga JF!!! Kashajua na kureply with quote.

Kila la heri bana my dear mwambie aombe na mungu amsaidie.
 
...Ohooo! Husninyo, mtihani huo sasa.

...uchokozi wako huo BJ, ...mbu huyo, m'copy & paste tu moyoni mwako, LOL ...:shut-mouth:

Yuuu Mbu acha hizo...tayani nimefanya Ctrl+C nikamalizia na Ctrl+V..kazi kwako!!ha ha
 
Hajajiunga JF!!! Kashajua na kureply with quote.

Kila la heri bana my dear mwambie aombe na mungu amsaidie.

Dena kwani ulisikia ni kilaza! JF anaingia mara nyingi kama guest sema hajajiunga. Kati ya leo na kesho atajiunga then nitamwachia aendeleze. Kumuomba Mungu ni muhimu huwa anaomba na hata unaona ametoa quote kwenye bible
 
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.

Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,

Sifa za shosti ni hizi

degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.

Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa

kwenye nyekundu hapo uli/alimaanisha nini?
 
Amechelewa, kunakipindi i was into a nid with bt sa iv nshapata wa ukweli, vigezo na sifa zote alizohitaji mi zote ninazo tena na zaidi coz mi nimejazwa na Roho mtakatifu pia mi ni mpentecoste wa ukwel in short nimeokoka! (This is 4addition out from her demanded qualifications she askd)
 
kulikoni jamani watu kutwa kucha wanatafuta wanaume? jamani wadada, wanaume wanatutafuta sisi, siyo vice versa........... tutulie tu tutapata waume tunaowataka..........
 
kulikoni jamani watu kutwa kucha wanatafuta wanaume? jamani wadada, wanaume wanatutafuta sisi, siyo vice versa........... tutulie tu tutapata waume tunaowataka..........

Wewe tulia, you might be 18 you can wait lakini umri unapoenda you have to do something. Kwani kutafuta ndo kusema utamdaka yoyote tu! NO ndo maana vigezo vikawekwa. GOOD EVENING
 
Wewe tulia, you might be 18 you can wait lakini umri unapoenda you have to do something. Kwani kutafuta ndo kusema utamdaka yoyote tu! NO ndo maana vigezo vikawekwa. GOOD EVENING

ha haaaaaaaaaaa, pole. Mimi niliolewa nikiwa na miaka 24. ila dada yangu aliolewa akiwa na miaka 35, na siku zote tupo nyumbani sikumwona akitafuta mkaka wa kumuoa. ndo maana nadhani siku hizi dunia imegeuka.
kwani kuolewa lazima? kama umri unaenda basi!
 
Back
Top Bottom