ha haaaaaaaaaaa, pole. Mimi niliolewa nikiwa na miaka 24. ila dada yangu aliolewa akiwa na miaka 35, na siku zote tupo nyumbani sikumwona akitafuta mkaka wa kumuoa. ndo maana nadhani siku hizi dunia imegeuka.
kwani kuolewa lazima? kama umri unaenda basi!
Shosti unafanya nini huku kwa mume kama unaona kuolewa SIO MUHIMU! Au kwa vile umeolewa ndo maana unananga wenzako. Huyu dada yako alikuwa anakuambia nyendo zake zote? si ameona biological clock inalia akaanza mbele fasta? Hee! u
FP how you doin umepotea kweliha haaaaaaaaaaa, pole. Mimi niliolewa nikiwa na miaka 24. ila dada yangu aliolewa akiwa na miaka 35, na siku zote tupo nyumbani sikumwona akitafuta mkaka wa kumuoa. ndo maana nadhani siku hizi dunia imegeuka.
kwani kuolewa lazima? kama umri unaenda basi!
Gaga ule mpango wetu vipiBado tu pm hazijajaa? vumilia truly utampata tu mwenza wako
FP how you doin umepotea kweli
Sasa nikikupa kazi ya kunitafutia mchumba utaiweza kweli lakini si bado haujaozesha naweza kuja kugonga hodi kwakoNipo rafiki, majukumu wakati mwingine yanafanya nipotee. Nisije na mimi nikaanza kupanga mstari wa kutafuta mchumba bure, na uzee huu!
duh umejieleza what yu learned lakini hukueleza vigezo vyako kama ulivyovieleza vya mtu unaemtaka....huh....utadoda...toa CV yako tena,jee umepima pia...Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,
Sifa za shosti ni hizi
degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.
Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
Sasa nikikupa kazi ya kunitafutia mchumba utaiweza kweli lakini si bado haujaozesha naweza kuja kugonga hodi kwako
Hewaaaa ndio uzuri mtu ukiwa unaongea na wamama vizuri angekuwa mbaba angeisha nitoa nduki kwa kweli ile NOVENA uliyoniambia wala siachi kabisaNitafunga kwa ajili ya mchumba wa binti yangu, naamini atatoka kwa Bwana............... kama utakuwa wewe tusubiri majibu ya MAOMBI
kutafuta binti mwingine mimi nitaanzia wapi na uzee huu? si watanishangaa? kwani wewe rafiki mdomo zege? anza tu taratibu utapata
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,
Sifa za shosti ni hizi
degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.
Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
Ayaaaaaaaaa.........wengine huwa ni mas....ga humu JF wanajidai ni wadada nyie mjichanganye tu ndo atakapo jitokeza ati utumbukize kwenye matope
Ooh mbona unataka kuniwangia bana, kwani nani alikwambia kama wavuvi huwa wanaoa~sisi wavuvi tuna msemo watu bana, unasema "We are not a one woman men". He he he!.Yegomasika nitakusemea kwa wife..usije ukaoa kisiri siri tena, namwambia ajiunge JF kukata mzizi wa fitina!!.. kwanza hujashtukia ni ndume hilo?! ha ha
Ukubwa jiweKaza buti mtoto
Pizza will do me good, halafu jiandae basii