- Thread starter
- #141
ha haaaaaaaaaaa, pole. Mimi niliolewa nikiwa na miaka 24. ila dada yangu aliolewa akiwa na miaka 35, na siku zote tupo nyumbani sikumwona akitafuta mkaka wa kumuoa. ndo maana nadhani siku hizi dunia imegeuka.
kwani kuolewa lazima? kama umri unaenda basi!
Shosti unafanya nini huku kwa mume kama unaona kuolewa SIO MUHIMU! Au kwa vile umeolewa ndo maana unananga wenzako. Huyu dada yako alikuwa anakuambia nyendo zake zote? si ameona biological clock inalia akaanza mbele fasta? Hee! u