Looking for a partner

Black Mann

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
140
Reaction score
209
Habari Ndugu,
naomba niende moja Kwa moja kwenye point.

Nimekuwa single Kwa muda mrefu Sana na nimejaribu kutafuta mahusiano Kwa muda mrefu kidogo(japo sijakazania saana) lakini naona kama sipati mtu sahihi na aliye seriously.

Kwa sasa naomba kama kuna msichana, mdada ama Mwanamke yoyote aliye single na mpweke tuungane Kwa pamoja kuliwazana, kama tutaendana na kukubaliana zaidi basi tutaweka mipango na mikakati zaidi.

Miaka yangu ni 35 Naishi Dar es salaam, Muajiriwa najitegemea (sio marioo)

Napenda msichana wa age za 23 na kuendelea. Dini yoyote (Mimi Christian)

Mambo mengine tutaelezana zaidi karibun Sana DM
 
Mkuu una threads zaidi ya tatu unatafuta partner mpaka leo hujapata tu

Mungu akusimamie
 

Mtu aliye sahihi na seriously kwako ni mtu wa namna gani?
 
nipe tender nikuletee mchumba mkuu

ada ya kazi ni elfu 50.

nitafute whatsapp 0625750755.

ukitaka hata grooms wa harusi yako nakuletea

ukitaka chumba cha kupanga uendelee na maisha we nitafute.

Kila la Kheri
 
Khadija K.

mwenyeji wa Tanga (kwa sasa yuko Dar)

umri 24.

njoo inbox ujaribu zali (fee is 50k after service)

 
Mkuu una threads zaidi ya tatu unatafuta partner mpaka leo hujapata tu

Mungu akusimamie
Muonee huruma basi... Imagine umeona anahangaika kila siku na umeshindwa kumsaidia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…