Looking for a partner

Looking for a partner

Habari Ndugu,
naomba niende moja Kwa moja kwenye point.
Nimekuwa single Kwa muda mrefu Sana na nimejaribu kutafuta mahusiano Kwa muda mrefu kidogo(japo sijakazania saana) lakini naona kama sipati mtu sahihi na aliye seriously.
Kwa sasa naomba kama kuna msichana, mdada ama Mwanamke yoyote aliye single na mpweke tuungane Kwa pamoja kuliwazana, kama tutaendana na kukubaliana zaidi basi tutaweka mipango na mikakati zaidi.
Miaka yangu ni 35 Naishi Dar es salaam, Muajiriwa najitegemea (sio marioo)

Napenda msichana wa age za 23 na kuendelea. Dini yoyote (Mimi Christian)

Mambo mengine tutaelezana zaidi karibun Sana DM
nina watoto wanne, nina miaka 27, nina biashara ya genge je naweza kuja kuungana na wewe tujenge maisha
 
Usiogope mkuu
We vitaje ata kwa mafumbo ntakuelewa
Hujui JamiiForums ni where we dare to talk openly
Hawakawii kusema 'na wewe babu unatafuta mchuchu, si utulie tu usubiri kufa, waja wana maneno'.
 
Back
Top Bottom