Looking for a soul mate..this is serious

makambako

Member
Joined
Jul 27, 2009
Posts
12
Reaction score
3
Mambo vipi. Mi kijana wa miaka 30 natafuta mpenzi, mchumba mzuri na mwenye bidii ya maisha. Elimu yangu ni College Degree na sasa hivi am working on my Masters. Elimu yako iwe anagalau kidato cha sita na uwe mwenye bidii ya kujituma kimaisha. Sijali dini wala kabila ili mradi turidhiane tu. Kwa sasa naishi Marekani, nasoma na kupiga mzigo full time, maisha sio mabaya tunamshukuru mungu kwa kidogo tunachokipata. Itakuwa vizuri kama utakuwa unaishi hapa Marekani au kama unaishi Tanzania au sehem yoyote uwe tayari kumove ili kuwa karibu na mimi. Mipango yangu ni kurudi Tanzania in 4 years from today. Kama uko interested please PM me or email rashmaki@yahoo.com and we will start from there. Asante sana....
 
kwa nini urudi tz ???au hujapapenda marekani?

kila la kheri mwaya,subiri wanakuja:smile-big:
 
kila la kheri ila una masharti magumu sasa kweli mtu akusubiri miaka minne, na kama hana uwezo wa kuja huko marekani..
 
Ni pazuri lakini I want to be close to my family, wazazi wangu wanazeeka and I want to be there for them kwa sababu they were there for me all my life. After all nyumbani ni nyumbani au sio??
 
kila la kheri ila una masharti magumu sasa kweli mtu akusubiri miaka minne, na kama hana uwezo wa kuja huko marekani..
Hapana simaanishi anisubiri miaka 4. ila mipamgo yangu ya baadaye ni kurudi kuishi Tanzania in 4 years. Suala la yeye kuja huku hayo ni masuala ambayo yata kuwa discussed baadaye, tukishaonana na kuona kuwa we have chemistry and we both want to be with one another. Narudi Tanzania mwisho wa mwaka huu kutembea
 
Ni pazuri lakini I want to be close to my family, wazazi wangu wanazeeka and I want to be there for them kwa sababu they were there for me all my life. After all nyumbani ni nyumbani au sio??

safi sana mkuu,wengine tumewatekeleza wazazi wetu hadi aibu,lol mungu atakupa na wewe usisahau kusali umpate mke mwema....
 
kama sitaki kutuma pm je.........
 
lakini ukipitia hili jukwaa la love conect kuna wadada washawahi kutuma thread zao,au vigezo vyao havijameet standard zako?:A S 39:
 
unatania weye...yaani usipate mke huko kwa obama unatafuta bongo!!! huku watoto black american wazuri na wanajuhudi balaaa
 
lakini ukipitia hili jukwaa la love conect kuna wadada washawahi kutuma thread zao,au vigezo vyao havijameet standard zako?:A S 39:
Am doing both, naangalia watu waliopost lakini pia nimeweka post yangu ili kupanua wigo zaidi, if you know what I mean. its so hard to meet Tanzanians hapa nilipo ndo mana
 
Kila mtu ana mapenzi yake kaka

atukatai ila huwezi nidanganya kwamba warembo wa obama sio wazuri kuliko wa bongo..au wee mwezangu outside beauty carries no marks when in search of a wife?
 
atukatai ila huwezi nidanganya kwamba warembo wa obama sio wazuri kuliko wa bongo..au wee mwezangu outside beauty carries no marks when in search of a wife?

anatafuta wa kumuondolea upweke ,mtu wa kushare naye kwa kila kitu i mean tabu na raha,atakayeaccomodate mapungufu yake,mama wa watoto wake...hapa kuyapata kwa mtu mmmja is insurmountable task, unatakiwa umejipanga uzuri wa watoto wa kibongo au marekani ni irelevant,nani ataefit ndio ataolewa, na uzuri uko subjective unamuona mzuri kwa wengine sio,
 
Very well written, I got nothing to add. Thanks
 
atukatai ila huwezi nidanganya kwamba warembo wa obama sio wazuri kuliko wa bongo..au wee mwezangu outside beauty carries no marks when in search of a wife?
Whatever man. Am not trying kukudanganya chochote so I don't know what you are talking about..
 
alafu wewe alikudanganya nani uzuri upo subjective.....there are women that 99% wanakubali kuwa huyu ni mzuri period well except for that one guy that ana macho makengeza ndio atasema wakawaida.
 
alafu wewe alikudanganya nani uzuri upo subjective.....there are women that 99% wanakubali kuwa huyu ni mzuri period well except for that one guy that ana macho makengeza ndio atasema wakawaida.
yes kaka...you are right au sio...You must be an expert in this area and it seems you have taken special interest kutuelimisha through this thread of mine. Appreciated Consultant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…