Mambo vipi. Mi kijana wa miaka 30 natafuta mpenzi, mchumba mzuri na mwenye bidii ya maisha. Elimu yangu ni College Degree na sasa hivi am working on my Masters. Elimu yako iwe anagalau kidato cha sita na uwe mwenye bidii ya kujituma kimaisha. Sijali dini wala kabila ili mradi turidhiane tu. Kwa sasa naishi Marekani, nasoma na kupiga mzigo full time, maisha sio mabaya tunamshukuru mungu kwa kidogo tunachokipata. Itakuwa vizuri kama utakuwa unaishi hapa Marekani au kama unaishi Tanzania au sehem yoyote uwe tayari kumove ili kuwa karibu na mimi. Mipango yangu ni kurudi Tanzania in 4 years from today. Kama uko interested please PM me or email rashmaki@yahoo.com and we will start from there. Asante sana....