Looking for a women not a girl

Ukiacha huyu, kuna mwingine anajiita Kelvin.pcb (I hope kakosa mkopo wa HESLB) nae anaandika takataka kila sekunde. Nadhani kwa leo kaanzisha si chini ya thread 5 za kipuuzi kama hii tunayosoma. They are boring oooohhh!
Nakubaliana nawe mkuu, yaani sometimes unasoma swali la kijana humu unaona hata aibu na kujiuliza mbali na jukwaa la chit chat ambalo linaeleweka kuwa linahusiana na masuala ya utani utani kwanini watu wanatumia JF kuleta mambo yasiyo na maana kwenye majukwaa ya mambo serious, unakosa jibu.
 
Hivi JF imeweka age limit ya kujoin ni miaka mingapi? Labda wareview au kuna wengine wanaforge umri kwenye kuregister...
Unfortunately hilo la umri halijawekwa sawa, nadhani lingesaidia sana kudhibiti hawa vijana wa primary.
 

Nenda kajifunze kwanza kingereza..ukijua wapi pakutumia True and Truly,ukishajua ndo utafute mrembo mtu mzima..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…