mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,948
Nakubaliana nawe mkuu, yaani sometimes unasoma swali la kijana humu unaona hata aibu na kujiuliza mbali na jukwaa la chit chat ambalo linaeleweka kuwa linahusiana na masuala ya utani utani kwanini watu wanatumia JF kuleta mambo yasiyo na maana kwenye majukwaa ya mambo serious, unakosa jibu.Ukiacha huyu, kuna mwingine anajiita Kelvin.pcb (I hope kakosa mkopo wa HESLB) nae anaandika takataka kila sekunde. Nadhani kwa leo kaanzisha si chini ya thread 5 za kipuuzi kama hii tunayosoma. They are boring oooohhh!