Hiyo Recuva ni nzuri sana lakini ujue unafanya kitu gani maana unaweza ukashitukia Hard disc yako imejaa kwa sababu inatrudisha kila kitu live hata kama ulifuta hard disc nzima miaka sita iliyopita,kwa ufupi utashangaa ndio pale iliposemwa kuwa usidanganyike na kusafisha dataz ,ndani ya harddisk kikishaingia kitu hakifutiki tena ,labda uivunje na kuiswagaswaga lakini kwa kufuta ,hakuna pengine tu kunaweza kutokea kuharibika dataz wenyewe lakini utaona jina lake.