Looking for data recovery software

Looking for data recovery software

Castle

Senior Member
Joined
Jul 25, 2008
Posts
116
Reaction score
20
heshima zenu wakuu, naomba msaada wa data recovery software, ninazo pata kwenye net ni demo tu hivyo zina kulimit kupata full optios na zingine hazikuruhusu kucopy recovered data. please kama kuna mtu anayo naomba anisaidie.
 
Hiyo Recuva ni nzuri sana lakini ujue unafanya kitu gani maana unaweza ukashitukia Hard disc yako imejaa kwa sababu inatrudisha kila kitu live hata kama ulifuta hard disc nzima miaka sita iliyopita,kwa ufupi utashangaa ndio pale iliposemwa kuwa usidanganyike na kusafisha dataz ,ndani ya harddisk kikishaingia kitu hakifutiki tena ,labda uivunje na kuiswagaswaga lakini kwa kufuta ,hakuna pengine tu kunaweza kutokea kuharibika dataz wenyewe lakini utaona jina lake.
 
Natumia GetDataBack. Uzuri hii ni portable (no need to install), it leave most past of your HDD untouched.
Bofya hapa.
 
Back
Top Bottom