looking for friends

looking for friends

mbona marafiki tupo wengi sana JF....au unataka wa aina gani?....ok...mimi nakuwa wa kwanza kuwa rafiki yako
 
Urafiki utaishia ktk mitandao tu au hadi kutembeleana? Vigezo hujatwambia inakuwaje? Na kama kutembeleana imo umeoa wewe? Nijibu hilo kabla sijakata shauri.
 
nimeshakubip huko namba yangu inaanzia na TZA 9273638993.................
 
mbona marafiki tupo wengi sana JF....au unataka wa aina gani?....ok...mimi nakuwa wa kwanza kuwa rafiki yako

Preta,
Sorry for my Ignorance; "Yeada Chini" ndio wapi?
 
Back
Top Bottom