Looking for God fearing husband who is ready to settle

Kuna hospital dodoma imebadilishwa jina recently naomba uwahi mapema ukafungue file
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanawake kazini siku hizi njia ni nyingi sna za biashara hasa nyakati hzi japo nafahamu mume anapatikana popote lkn si kwa staili hii, siiamini hta kdgo.
Km tayar uko humu na unauhitaji huo endelea kuimarisha urafiki na unaokutana nao humu nijiuavyo popote pale alipo mwanamke hajawahi kuacha kutongozwa na nafasi hiyo ndio uitumie kuelezea hitajio lako tamaa weka pembeni end of the day utajua mbivu utajua mbichi
 
Mimi ni lazima nikuonje kwanza, mikiielewa ladha yake ndiyo nitajitwisha.
 
We umetulia lakini, je hauna watoto wa kuficha kwa ndugu zako?
 

You are not a woman.ungekuwa labda ni a woman 28-45years ningekusikiliza,maana ndo utakuwa unajua challenges za mahusiano za this generation
 
Mbali wapi tena??
Hapa hapa jamvini , ila ulikuwa bado mdogo sana nilipotongoza mdada wa hapa kwa miadi ya kumuoa [emoji3] akanikimbia siku ya pili tukiwa grand lodge huko Morogoro eti kisa naonekana sina future zaidi ya kuendekeza starehe .

Wewe mmama najua sasa umezeeka , ila haujafa upo hapa jamvini , nakusalimia sana , unaendeleaje na future zako ?

Mungu alikusaidia sana maana ukweli sikuwa najua hata nini maana ya kuoa hivyo tungeishi kama kusaidiana kwenye hisia tu .
 
Shida umeji brand mno na kiingereza chako....ukidhani ndo watakushobokea sanaa na kukupa thamani ..BIG NO maisha hayataki kujikweza sanaa hujui kwamba watu wanasubiri anguko lako na mavyeti vyako.
Kakosea tena? Kingereza ni kosa? Nilidhan lugha tu, na labda katumia kingereza sababu kingereza kipo straight na clear, angetumia kiswahili maelekezo yangekuwa mengi, mfano aliposema inferiority complex kwa kiswahili angeandika nini mzee? Mbona kama yangekuwa maneno mengi?
 
Kwamba upikiwe, kufuliwa, kunyoosjhewa nguo, kubrashiwa viatu, kupokelewa..he we kaka wewe...ehe na wewe utafanya nini sasa kwa mkeo?yaan hata kubrash viatu huwezi? Kisa umeoaπŸ™ƒ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Kumbe hizi struggle hata zamani zilikwepo[emoji23]
 
You are not a woman.ungekuwa labda ni a woman 28-45years ningekusikiliza,maana ndo utakuwa unajua challenges za mahusiano za this generation
Huenda kwl cjui lolote ktk umri huo labda tu km umemaanisha kuhusu lesbian lkn ktk mahusiano haya ambayo ni lazima iwepo collaboration Kat yetu na nyinyi huniambii kitu kifupi hii staili hta akija muoaji kwel bdo changamoto ni nyingi
 
Watu hawana jema
 
Endelea kuonja kuna homa ya ini huko,unadhani kuonja onja ni sifa,utaonja wangapi,??tangu uanze kuonja umetosheka??
Unaonja hadi ipatikane ladha, homa yoyote siyo kitu cha kuzuia maisha yasiende. Hakuna takayeishi milele zaidi kwa kuamua kuogopa.
Pamoja na kuvuta sana Sigara sehemu kubwa ya maisha yake, bado Bi. Kidude aliishi maisha marefu kuliko wengi.
Lete kionjwa hicho watu tukionje
 
Kumbe hizi struggle hata zamani zilikwepo[emoji23]
Kwanini zisiwepo kwani unafikiri wewe na hiyo ID yako hata usingejitangaza unahisi vijana wasingekuja kukuomba uhusiano ?

Mungu akupe hitaji la moyo wako ila kuwa makini wengi hapa ni fake life , mtu anaweza kukufekia mpaka sauti na jinsi ya kutembea ili umpende [emoji3][emoji3]
 
Mimi kidogo umri umeenda. Naruhusiwa kutuma maombi? Sifa nyingine zote ninazo.
Mi nafahamu siku zote mashabiki wa ile timu wengi ni wazee, afu kutwa kumdis Onyango

Halafu nina mashaka kwenye ile cabinet ya wazee kususia bidhaa za Azam kuna uwezekano wewe ndiye uliyetoa wazo.
 
Huenda kwl cjui lolote ktk umri huo labda tu km umemaanisha kuhusu lesbian lkn ktk mahusiano haya ambayo ni lazima iwepo collaboration Kat yetu na nyinyi huniambii kitu kifupi hii staili hta akija muoaji kwel bdo changamoto ni nyingi

Zipo positive feedback nyingi tuu,binafsi i know a couple from JF na ndo imeni inspire kuja kujaribu.mwenyewe naona jinsi nitakavyowaletea ushuhuda.lazima kuna wenye nia ovu but kuna few percent ya watu wema.so am positive,na Mungu pia yupo kwenye selection[emoji23][emoji23][emoji23]so just relax usiwe negative sana na usinivunje moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…